Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 1,114 | Umetazamwa mara 3,723
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C
Ee BWANA WEWE NDIWE MWENYEHAKI
Ee Bwa - na Bwana wewe ndiwe mwenyehaki x2
na hukumu, nahukumu zako nahukumu zako niza a-dili. x2
1. Na kama zilivyo , Rehema - zako , Na kama zilivyo Rehema - za ko. u m te - nde e m tu mi shi wa ko mtumishi wa ko
2. Umeagizia , shuhuda - zako, na kwayote haki kwa uamini fu, kwau a mi ni fu, kwa u a mi ni fu uaminifu mwingi.
3. Mimi ni m - dogo, nadhara u li wa, na lakini kamwe si ta ya sa ha u, ma u si a ya ko ma u sia ya ko ma u sia ya ko.