Ingia / Jisajili

Maombi yangu yafike

Maneno ya wimbo

Maombi yangu nayafike mbele yako (Ee Bwana) uutegee ukelele wangu sikio lako Ee Bwana x2.

1:Maana nafsi yangu imeshiba taabu, na uhai wangu umekaribia kuzimu.

2:Umenifanya BWana kuwachukizo kwao, nimefungwa wala siwezi kutoka.

3:Jicho langu limefifia kwa mateso, Bwana wangu nimekuita unisaidie.
Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa