Ingia / Jisajili

Kristu Alijinyenyekeza

Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Matawi

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 14,016 | Umetazamwa mara 21,958

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kristu alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti naam mauti ya msalaba x2

  1. Kwa hiyo Mungu alimwadhimisha akamkirimia jina lile lipitalo kila jina
  2. Ninyi nyote mnaomcha Bwana msifuni wote mlio wazao wa Yakobo mtukuzeni

Maoni - Toa Maoni

ANSIGARI VALENTINE SWAY Apr 29, 2021
Naipenda sana hii nyimbo

Rogers K.J. Apr 13, 2019
Nota zimemosewa sana sauti ya pili na Tatu.

Toa Maoni yako hapa