Mtunzi: Sylvanus Mpuya
> Mfahamu Zaidi Sylvanus Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvanus Mpuya
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 464 | Umetazamwa mara 1,440
Download Nota Download MidiEe Bwana ulimwengu wote ukatika uwezo wako, (wala hakuna) wala hakuna wala hakuna awezaye kukupinga kukupinga ukipenda x2
1.Wewe umeumba vyote, mbingu na nchi mbingu na nchi, na vitu vyote maajabu yako, na vitu vyote maajabu yako.
2.Vilivyo juu ya mbingu na vilivyomo chini ya mbingu, vyote ni kazi ya mikono yako, vyote ni kazii ya mikono yako.
3.Wewe ni mweza wa yote wala hakuna wakukupinga, kwa kila jambo wewe ukipenda, kwa kila jambo wewe ukipenda.
4.Mbinguni na Duniani, mapenzi yako yanatimizwa, wewe ni Bwana Mungu wa vyote, wewe ni Bwana Mungu wa vyote.