Mtunzi: Sylvanus Mpuya
> Mfahamu Zaidi Sylvanus Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvanus Mpuya
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 419 | Umetazamwa mara 1,319
Download Nota Download MidiAsifiwe Baba na Mwana na Roho na roho Mtakatifu x2. {Kwa sababu ametufanyizia, ametufanyizia Huruma Huruma Huruma yake x2}
1.Mungu Baba ni Muumba, Mungu Mwana mkombozi, na Mungu Roho mtakatifu ni mfariji.
2.Na hizo nafsi tatu ni kwake Mungu mmoja, atukuzwe pia asifiwe Mungu Milele.
3.Zamani na hata sasa, na siku zile zijazo, sifa ni kwake ukuu wake Milele yote.