Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 4
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka C
Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda ukipenda ukipenda x2
1.Wewe umeumba yote mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya Mbingu ndiwe Bwana wa yote Bwana wa yote