Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka A
Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana mtakeni Bwana na nguvu zake na nguvu zake utafuteni uso wake siku zote x2