Ingia / Jisajili

Mtoto Yesu kazaliwa

Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 578 | Umetazamwa mara 2,290

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mtoto Yesu kazaliwa kweli amezaliwa Mtoto, njoni wote tufurahi leo amezaliwa mtoto. Njoni wote tufurahie kwa nderemo vigelegele mtoto Yesu leo amezaliwa x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa