Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 976 | Umetazamwa mara 2,478
Download NotaEe Bwana ulimwengu wote ukatika uwezo wako, wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda x2
1. Wewe umeumba yote, Mbingu na nchi, na vitu vyote vya ajabu, ndiwe Bwana wa yote.