Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 848 | Umetazamwa mara 999

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 27 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana ulimwengu wote uko katika uwezo wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda X2

1. Wewe umeumba yote mbingu na nchi na vitu vyote vilivyomo chini ya mbingu ndiwe Bwana wa yote

2. Wewe unatuhuisha Ee Mungu wetu na kutuchukua wakati unapopenda ndiwe Bwana wa yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa