Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulitafakari

Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 8,803 | Umetazamwa mara 15,058

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana, ee Bwana, Ee Bwana ulitafakari agano x 2
Usisahau milele, uhai wa watu wako walioonewa x 2

  1. Ee Mungu usimame, ujitetee mwenyewe, usiisahau sauti ya watesi wako.
     
  2. Kwa nini ee Mungu umetutupa kabisa, umesimama mbali nasi? 

Maoni - Toa Maoni

Innocent Jul 27, 2022
Wimbo mzuri sana barikiwa sana mtunzi

Toa Maoni yako hapa