Mtunzi: Joseph D. Mkomagu
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph D. Mkomagu
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 4,105 | Umetazamwa mara 8,627
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ataniita nami nitamwitikia, nitamwokoa nakumtukuza x 2
Mashairi
1. (Soprano): Nitakuwa pamoja naye taabuni, kwa siku nyingi nitamshibisha
2. (Tenor): Kwa kuwa amekaza kunipenda, nitamwokoa na kumweka palipo juu.
3. (Alto): Nitasema Bwana ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.