Mtunzi: John Sway
> Mfahamu Zaidi John Sway
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sway
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 938 | Umetazamwa mara 3,100
Download Nota Download MidiNALIOMBA HEKIMA
Hekima ya Solomoni 7:7-11
Naliomba nikapewa ufahamu nalimwita Mungu nikajiwa na Roho ya Hekima nalichagua kuliko viti vya enzi na viti vya enzi wala mali sikudhani kuwa kitu chochote ikilinganishwa nayo haina thamani itahesabika kama udongo x2
Mashairi:
1. Naliipenda kupita afya njema na uzuri wa sura hata zaidi ya nuru sikutaka kuwa nayo.
2. Kwa maana mwangaza wake mwangaza wake haufifii hauta fifia kamwe hautafifia.
3. Na pamoja nikaijiwa nayo mema yote mikononi mwake, mali isiyoweza kuhesabika.