Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: respiqusi mutashambala
Umepakuliwa mara 8,662 | Umetazamwa mara 16,520
Download Nota Download MidiEe Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki, Uniokoe na mtu wa hila asiye haki. Kwakuwa wewe ndiwe Mungu uliye Nguvu zangu X2
1. Niletewe nuru yako na kweli yako ziniongoze/ zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu, na hata maskani zako.
2. Hivyo nitakwenda madhabahuni kwa Mungu/ Kwa Mungu aliye raha yangu na shangwe yangu.
3. Nitakusifu kwa kinubi/ Ee Mungu, Mungu wangu.