Ingia / Jisajili

Ee Bwana Unihukumu

Mtunzi: Vitus G. Tondelo
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitus G. Tondelo

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Vitus Tondelo

Umepakuliwa mara 653 | Umetazamwa mara 2,007

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Unihukumu unitetee kwa taifa lisilo haki. Uniokoe na mtu wa hila asiye haki

  1. Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu, kwa nini umeniacha, kwa nini ninakwenda nikihuzunika Bwana, adui zangu wakinionea.
  2. Nilitewe nuru yako na kweli yako Bwana, zote zinifikishe kwenye mlima wako mtakatifu na hata kwenye maskani yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa