Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Richard Samson
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka C
Ee Bwana, unisaidie hima x2
1. Nalimngoja Bwana kwa saburi, Akaniinamia akakisikia kilio changu.
2. Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
3. Akatia wimbo mpya kinywani mwangu, Ndio sifa zake Mungu wetu. Wengi wataona na kuogopa, Nao watamtumaini Bwana.
4. Nami ni maskini namhitaji, Bwana atanitunza. Ndiwe msaada wangu na wokovu wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.