Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Richard Samson
Umepakuliwa mara 29 | Umetazamwa mara 42
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C
Furahi Ee Yerusalemu x2
Na mkusanyike ninyi nyote, ninyi nyote mmpendao, ninyi nyote mmpendao x2
1. Furahini kwa furaha ninyi nyote, mliokuwa na huzuni mpate kushangilia na kushibishwa, kwa utamu wa faraja zake.
2. Maana Bwana asema tazama, nitamwelekezea amani kama mto wa utukufu, na utukufu wa mataifa.