Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 730 | Umetazamwa mara 2,963
Download NotaEe Bwana Unisaidie Hima, Uni saidie Hima
1. Nalimngoja Bwana Kwa saburi akaniinamia akakisikia kilio changu
2. Akanipandisha toka shimo la uharibifu akanipandisha kutoka udongo wa utelezi
3. Akaisimamisha miguu miguu yangu mwambani akaziimarisha hatua zangu