Mtunzi: James Chusi
> Tazama Nyimbo nyingine za James Chusi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: James Chusi
Umepakuliwa mara 1,915 | Umetazamwa mara 4,589
Download NotaKiitikio
Msaada wangu ukatika Bwana, Msaada wangu ukatika Bwana aliyezifanya Mbingu na nchi.
Mashairi
1. Nitayainua macho yangu nitazame milima, msaada wangu utatoka wapi,msaada wangu ukatika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi
2. Usiuache mguu wako usogezwe yeye akulindaye asinzie, naam hata sinzia hata lala usingizi, aliye mlinzi wa Islael