Ingia / Jisajili

EE BWANA UTUONYESHE REHEMA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 228 | Umetazamwa mara 718

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana utuonyeshe Rehema zako Ee Bwana utuonyeshe Rehema zako utupe wokovu wako.x2.(1)Nanisikie atakavyosema Mungu Mungu Bwana maana atawaambia ambia watu wake amani hakika wokovu wake ukaribu na wamchao Utukufu ukae katika nchi yetu .(2).Fadhili na Kweli zimekutana hakika na amani zimebusiana Kweli imechipuka katika nchi haki imechungulia kutoka mbinguni.(3)Naam Bwana atatoa kilichochema na nchi itatoa mazao yake nayo itazifanya hatua zake kuwa njia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa