Ingia / Jisajili

MPENI BWANA UTUKUFU NA NGUVU

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 399 | Umetazamwa mara 1,314

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MPENI BWANA MPENI BWANA UTUKUFU NAGUVU MPENI BWANA UTUKUFU NA NGUVU .X2(1)Mwimbieni Bwana wimbo mpya Mwimbieni Bwana nchi yote wahubirini mataifa habari za Utukufu wake na watu wote habari za maajabu yake.(2)Kwa kuwa Bwana NI mkuu mwenye kusifiwa Sana nawa kuofiwa kuliko miungu you're maana miungu yote ya watu sikitu.lakini Bwana ndiye Aliye zifanya mbingu(3)MPENI BWANA enyi jamaa za watu MPENI BWANA UTUKUFU na NGUVU MPENI Bwana Utukufu wajina lake.(4)Mwabuduni Bwana Kwa uzuri wa utakatifu wake tetemekeni mbele zake nchi yote semeni katika mataifa Mungu NI mfalme atawahukumu watu kwa amani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa