Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 2,762 | Umetazamwa mara 5,731
Download Nota Download MidiEe Mungu uniumbie moyo safi X2
1;Unirehemu sawasawa na fadhili zako kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu yote.
2; Nioshe Bwana dhambi zangu kwa rehema zako uifanye upya roho yangu iliyotulia ndani mwangu.