Ingia / Jisajili

Ee Bwana Wewe Wavipenda Vitu Vyote Vilivyomo

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI

Umepakuliwa mara 8,701 | Umetazamwa mara 15,745

Download Nota
Maneno ya wimbo

Ee Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyomo wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba 

  1. Wasamehe watu dhambi kwa ajili ya kufanya kitubio kuwahurumia.
     
  2. Ee bwana tujalie sisi waumini wako tuvianze vita vya roho  kwa mfungo mtakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Ladislaus Marco Mar 04, 2025
Hongera kwa uimbaji uliotukuka.

Toa Maoni yako hapa