Ingia / Jisajili

Wateule Wa Bwana

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,836 | Umetazamwa mara 9,983

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Wateule wa Bwana karibuni mezani pake, njoni, Bwana awaalika enyi wenye moyo safi x 2
Amewaandalia, leo, karamu takatifu, njoni mwili na damu yake chakula safi cha roho x 2

  1. Kwanza tujitakase, nafsi zetu wenyewe, tukishakutakata, tujongee meza yake.
     
  2. Karibuni mezani, Bwana awaalika, kwenye karamu yake, enyi wenye moyo safi.
     
  3. Na tule mwili wake, na tunywe damu yake, ndicho chakula bora, cha roho zetu karibu.
     
  4. Tusipokula mwili, na kunywa damu yake, tunazinyima roho zetu neema zake Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Jaymaks Joseph Mar 14, 2019
Wimbo mzuri sana, ila Jina la mtunzi haliko kwenye nakala. Ombi langu, aliyenakili afanye hima kuandika jina la mtunzi

Emily mgimba Apr 23, 2018
Mbarikiwe sana nyimbo nzuri hadi raha

Emily mgimba Apr 23, 2018
Pongezi zaidi ziwafikie nyimbo ni nzuri saaana, mbarikiwe na mungu aendeleeni kuwalinda na awasimamie katika kazi zenu ameen.

Toa Maoni yako hapa