Mtunzi: W. A. Chotamasege
> Mfahamu Zaidi W. A. Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za W. A. Chotamasege
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 7
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka C
Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki x2 kwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako x2