Mtunzi: Ansert Mchefya
> Tazama Nyimbo nyingine za Ansert Mchefya
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,909 | Umetazamwa mara 4,560
Download Nota Download MidiEe Bwana Yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako x 2.
Mashairi:
1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma yako.
2. Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki.