Mtunzi: J. L. Ntilakigwa
> Mfahamu Zaidi J. L. Ntilakigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za J. L. Ntilakigwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Joseph Lazaro
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 20 Mwaka A
Ee Mungu Ngao Yetu, Uangalie Umtazame Uso kristo wako.
1. Hakuka siku moja katika nyua zako ni bora kuliko siku Elfu
2. Ningependa kuwa bawabu Nyumbani mwa Mungu wangu, kuliko kukaa katika hema ya Uovu.