Ingia / Jisajili

Mungu Yu Katika Kao Lake Takatifu

Mtunzi: Bavon Christopher Kitamboya
> Mfahamu Zaidi Bavon Christopher Kitamboya
> Tazama Nyimbo nyingine za Bavon Christopher Kitamboya

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Bavon Christopher

Umepakuliwa mara 453 | Umetazamwa mara 984

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu yu katika kao lake kao lake takatifu Mungu huwakalisha wapweke nyumbani X2 1. Bali wenye haki hufurahi na kuushangilia uso wa Mungu naam hupiga kelele kwa furaha 2. Mwimbieni Bwana mwimbieni lisifuni jina jina lake mshangilieni mbele zake 3. Huwatoa wafungwa wakae hali ya kufanikiwa bali wakaidi hukaa katika nchi kavu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa