Ingia / Jisajili

Ee Mungu, Nimekuita Kwa Maana Utaitika.

Mtunzi: Bavon Christopher Kitamboya
> Mfahamu Zaidi Bavon Christopher Kitamboya
> Tazama Nyimbo nyingine za Bavon Christopher Kitamboya

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Bavon Christopher

Umepakuliwa mara 730 | Umetazamwa mara 978

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 29 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, utege sikio lako ulisikie neno langu, x 2 Ee Bwana, unilinde kama mboni ya jicho, unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako. x 2 1. Ee Bwana usikie haki, usikilize kilio changu, utege sikio lako kwa maombi yangu 2. Dhihirisha fadhili zako Bwana, fadhili zako za ajabu, wewe unayewaokoa wanao kukimbilia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa