Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi | Kwaresma
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 3,952 | Umetazamwa mara 6,851
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C
Ee Mungu uniokoe Ee Bwana unisaidie hima ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu Ee Bwana usikawie X2
1. Washangilie wakufurahie wote wakutafutao waupendao wokovu wako wasema daima atukuzwe Mungu
2. Nami ni maskini na muhitaji Ee Mungu unijilie kwa haraka X2