Ingia / Jisajili

Mimi Mwenyewe Nitawalisha Kondoo Wangu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 122 | Umetazamwa mara 224

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu nami nitawalaza asema Bwana X2

1. Nami nitawalisha malisho mema pa juu ya milima ya mahali palipoinuka pa Israeli litakuwa zizi lao

2. Huko watalala katika zizi jema nao watakula watakula malisho mema juu ya milima ya Israeli

3. Nami nitawatafuta waliopotea nitawarudisha waliotangatanga nitawatibu waliojeruhiwa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa