Mtunzi: B.p.mwandu
> Mfahamu Zaidi B.p.mwandu
> Tazama Nyimbo nyingine za B.p.mwandu
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Beatus Mwandu
Umepakuliwa mara 636 | Umetazamwa mara 2,135
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C
Ee Mungu uniokoe,unisaidie hima(Bwana) ndiwe msaada wangu na Mwokozi Wangu Ee Bwana usikawie.
Maimbilizi.
1.Waaibike, wafedheheke, waitafutao nafsi yangu, warudishwe nyuma,watahayarishwe wapendezwao na shari yangu.
2.Nami maskini namhitaji Ee Mungu wangu,unijilie kwa haraka usikawie.
3.Washangilie, wakufurahie wote wakutafutao,waupendao wokovu wako waseme atukuzwe Mungu.