Mtunzi: B.p.mwandu
> Mfahamu Zaidi B.p.mwandu
> Tazama Nyimbo nyingine za B.p.mwandu
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Beatus Mwandu
Umepakuliwa mara 577 | Umetazamwa mara 1,659
Download NotaEe Bwana wewe wavipenda vitu vyote vilivyopox 2.Wala hukichukii,wala hukichukii,wala hukichukii, kitu chochote ulichokiumbax2
1.Unawasamehe watu dhambi zao, kwaajili ya kufanya kitubio.
2.Wawasamehe na kuwahurumia, kwa kuwa ndiwe Bwana Mungu wetu.