Ingia / Jisajili

EE MUNGU UNIUMBIE MOYO SAFI Zaburi 51

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 501 | Umetazamwa mara 1,838

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Ee Mungu uniumbie moyo safi, uniumbie moyo safi ee Mungu. 1.Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako, kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu, unioshe kabisa na uovu wangu, unitakase dhambi dhambi zangu. 2.Ee Mungu uniumbie moyo safi uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu, usinitenge na uso wako, wala roho yako mtakatifu usiniondolee. 3.Unirudishie furaha ya wokovu wako unitegemeze kwa roho ya wepesi, nitawafundisha waasi njia zako na wenye dhambi watarejea kwako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa