Ingia / Jisajili

UNIPONYE ROHO YANGU MAANA NIMEKUTENDA DHAMBI Zaburi 40

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 459 | Umetazamwa mara 1,952

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Uniponye roho yangu kwa maana nimekutenda dhambi: adui zangu wananisema kwa maneno mabaya wananisema atakufa lini, jina lake likapotea. 1.Heri amkumbukaye kweli mnyonge, Bwana atamwokoa siku ya taabu, Bwana atamlinda na kumhifadhi hai. 2.Naye atafanikiwa katika nchi, wala usimtie katika hali, katika hali wamtakiayo adui zake. 3.Bwana atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani, katika ugonjwa wake umemtandikia. 4.Nami nilisema Bwana unifadhili, uniponye roho yangu maana nimekunda dhambi.

Maoni - Toa Maoni

John Ndungu Githire Sep 15, 2021
Very good keep it up progress

Toa Maoni yako hapa