Mtunzi: Gervas M. Kombo
> Mfahamu Zaidi Gervas M. Kombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Gervas M. Kombo
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 2,887 | Umetazamwa mara 5,298
Download Nota Download MidiEE MUNGU UTURUDISHE
Ee Mungu uturudishe uangazishe uso wako nasi tutaokoka x2
1. Wewe uchungae israeli usikie, wewe uketie juu ya makerubi, utoe nuru
uziamshe nguvu zako uje uje utuokoe.
2. Mkono wako na uwe juu yake mtu wamkono wako wa kuume, juu ya
mwanadamu uliyemfanya kuwa imara kwa nafsi yako
3. Ee Mungu Ee Mungu wa majeshi tunakusihi urudi utazame toka juu uone,
uujilie mzabibu na mche ule ule ule ulioupanda