Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 6,386 | Umetazamwa mara 16,957
Download Nota Download MidiEe rafiki yangu Bwana Yesu, Tegemeo langu la milele Siku zote za maisha yangu Wewe nami tuungane x2
1. Bwana Yesu katika shida zangu tumaini langu ni wewe siku zote za maisha yangu wewe nami tuungane
2. Bwana Yesu katika unyonge wangukitulizo change ni wewe, siku zote za maisha yangu….
3. Bwana Yesu katika furaha yangu nifurahi pamoja nawe, siku zote za maisha yangu….
4. Bwana Yesu katika ujana wangu kiongozi wangu ni wewe, siku zote za maisha yangu…
5. Bwana Yesu leo ni siku yangu yakuishi pamoja nawe, siku zote za maisha yangu…