Ingia / Jisajili

Ee We Yesu Wangu Wa Uzima

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 310 | Umetazamwa mara 1,426

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE WE YESU WANGU WA UZIMA. KARIBU BWANA YESU NA KUKARINISHA MOYONI MWANGU X 2 KARIBU EE BWANA WANGU KWELI NA KUKARIBISHA.UKAE NDANI YANGU NAMI NIWE NDANI YAKO SIKU ZOTE X2 fine.                                                                1.Ee we yesu Wangu wauzima kweli na kukaribisha.wewe ni chakula kweli kutoka mbinguni.na kuja kwako Ee Bwana unipe chalula.uwe ndani yangu na Mimi niwe ndani yako.                           2.Ee we yesu Wangu wa uzima.kweli na kukaribisha. Karibu Bwana yesu ukae ndani ya Roho yangu.unisafishe Roho yangu Kwa Damu yako.                    3.Ee we yesu wangu kimbilio langu na kutegemea wewe.nina kuomba Bwana usiniache mini.unishike mkono Wangu Bwana Wangu. Maana wewe ndiye faraja ya Roho yangu




Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa