Ingia / Jisajili

NURU HUWAZUKIA

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 224 | Umetazamwa mara 904

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nuruhuwazukia wenye adili gizani x2 anafadhili na huruma na haki .anafadhili na huruma na haki Kweli X2 he-ri atendae fachili na kuko pe-shwa (kukopeshwa atengrnezae mambo yake kwa haki X2(1).Kwa maana hataondoshwa kamwe mwenye haki atakumbukwa milele .hata ogopa habari mbaya.(2).Moyo wake umethibitika hata ogopa hata hawaone watesi wake kwake wameshindwa.(3).Amekirimu na kuwspa masikini haki yake ya kaa milele .pembe yake itatukuzwa kwa Utukufu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa