Ingia / Jisajili

Ee Yesu Mwokozi Wangu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 129 | Umetazamwa mara 320

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
EE YESU MWOKOZI WANGU KARIBU BWANA ) Ee Yesu mwokozi wangu .karibu Bwana Rohoni Mwangu .ukaendani yangu naminiwe ndani yako X2 (1) Ee Bwana yesu wangu. Nakukaribisha. Unipe chakula chako safi Cha kutoka mbinguni .wewe ni Cha kula kweli Cha uzima uzima wa milele.(2) Ee Bwana yesu wangu naijongea.Naijongea Meza yako .unilishe mwili wako .uninyweshe Damu yako .ni safishe Roho .niwe mweupe kuliko seruji..(3)Karibuni e yesu na kukaribisha .katika maisha yangu.wewe ndiwe msaada wangu .Bila wewe Mimi siwezi kitu.(4) Ee yesu mwokozi karibu Ee Bwana .wewe ndiwe Rafiki wamaisha yangu.na kutegemea Ee Bwana.Bila wewe Mimi siwezi kitu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa