Ingia / Jisajili

WEWE BWANA USINIACHE

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 108 | Umetazamwa mara 501

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 30 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
WEWE BWANA USINIACHE MUNGU WANGU (mungu mungu wangu)usijitenge nami fanya haraka kunisaidia Bwana was wokovu wangux2(1)Ee we Bwana usinilaumu kayikagadhabu yako Bwana Wala usiniadhibu kwa ukali wa asira yako Bwana was wokovu wangu.(2)Wewe Bwana usiniache Ee mungu mungu wangu (mungu wangu)usijitenge nami Bwana wawokovu want.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa