Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 4,680 | Umetazamwa mara 9,569
Download Nota Download MidiEnyi mataifa yote msifuni Bwana (enyi) enyi enyi watu wote mhimidini
Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu na uaminifu wa Bwana ni wa milele
Enendeni enendeni enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri Injili Aleluya
1. Fungeni mikanda viunoni simama wima na vibuyu vyenu mikononi kanyaga mwendo mkawa hubirieni kabila za dunia kona za nchi
2. Wahubirieni na kwa matendo wamuone Bwana ndani yenu wamshuhudie
3. Hubiri mashamba hubiri miji hubiri bahari hubiri bara