Mtunzi: Michael Shija
> Mfahamu Zaidi Michael Shija
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Shija
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Shija
Umepakuliwa mara 884 | Umetazamwa mara 2,650
Download Nota Download MidiKIITIKIO.
Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Ijili x2
MASHAIRI.
1. Aleluya Enyi mataifa yote msifuni Bwana, Enyi watu wote watu wote mhimidini.
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wamilele.