Ingia / Jisajili

Enendeni Ulimwenguni Mwote

Mtunzi: John D. Kajala
> Tazama Nyimbo nyingine za John D. Kajala

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: John Kajala

Umepakuliwa mara 1,509 | Umetazamwa mara 5,431

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Enendeni Ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili. X2

Mashairi:

  1. Enyi Mataifa yote msifuni Bwana, enyi watu wote mhimidini.
  2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, na uaminifu wa Bwana ni wa milele.
  3. Na kila aaminiye atabatizwa, ataokoka asema Bwana.
  4. Naye asiyeamini atahukumiwa, atahukumiwa asema Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa