Ingia / Jisajili

Mtu Hataishi

Mtunzi: John D. Kajala
> Tazama Nyimbo nyingine za John D. Kajala

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: John Kajala

Umepakuliwa mara 726 | Umetazamwa mara 2,513

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Mtu hataishi, mtu hataishi, kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. X2

Mashairi

  1. Msujudie Bwana Mungu wetu, umwabudu yeye peke yake.
  2. Mwangukie Bwana Mungu wetu, umwabudu yeye peke yake.
  3. Sala ziwe ni kwa Mungu wetu, umwabudu yeye peke yake.
  4. Chakula bora kwa Mungu wetu, umwabudu yeye peke yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa