Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Vitus Chigogolo
Umepakuliwa mara 2,366 | Umetazamwa mara 5,797
Download Nota Download MidiEnyi waamini wapenzi wake Bwana wote wanyofu wa moyo wanaalikwa mezani x 2
Ni chakula cha roho kwa wote wanyofu wa moyo tunywe siku zote chakula cha uzima x2
1. Bwana anatuita sote mezani pake tukashiriki vema chakula cha uzima
2. Tule siku zote chakula toka mbinguni chakula cha uzima chakula cha wokovu
3. Tunywe siku zote kinywaji toka mbinguni ni kinywaji cha uzima kinywaji cha uzima