Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Galilaya

Mtunzi: A. J. Msangule
> Tazama Nyimbo nyingine za A. J. Msangule

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: MICHAEL CHAINA

Umepakuliwa mara 130 | Umetazamwa mara 257

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kupaa kwa Bwana

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio:Enyi watu wa galilaya mbona mnashangaa,,mmeinua macho yenu mkitazama angani huyu Yesu aliyetwaliwa kutoka kwenu atakuja tena vivyo hivyo mlivyomuona akienda zake mbinguni SHAIRI 1.Akiagana na mitume Yesu aliwaambia mkisha mpokea roho mtanishuhudia 2.Akiisha kusema hayo Yesu kainuliwa akatoweka machoni wingu likampokea

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa