Ingia / Jisajili

Ewe Bwana Wawahurumia Wote

Mtunzi: Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Mfahamu Zaidi Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis L Komba ( MHAUKA)

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Fadhili Komba

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio 

Ewe Bwana wawahurumia wote.

MASHAHIRI

1. Wala  hu chu kii   /Chochote u li choumba.

2. Wasahau dhambi za watu  / Kwa ajili ya kitubio na kuwa hu rumia

3. Kwa maa na wewe  / Ndiwe bwana Mu ngu wetu.

4. Unihu ru mie /  Ee Mungu uni hu rumie.

5. Kwani ro ho yangu  / yakimbi  li a kwako.

6. Atuku zwe baba /  Na mwana na roho mta katifu.

7. Kama mwanzo, sasa na si ku zote  / Na mile le  A MI NA.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa