Mtunzi: Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Mfahamu Zaidi Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis L Komba ( MHAUKA)
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Fadhili Komba
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 3
Download Nota Download Midi1. (a)Tumsifu maria, Tumsifu Maria Enyi wanae
(b) Tutoe salamu Tutoe salamu Tumshangilie mama.
KIITIKIO : Salamu Maria(salamu mama) salamu maria Salamu mama x 2
2. (a) Katika uwingu…Katika uwingu ni mfalme Yesu,
(b) Malkia ni wewe… Malkia ni wewe kuume kwake.
3. (a) Katika bahari… Katika bahari ni nyota wewe,
(b)Mwondoa hatari… Mwondoa hatari mama wa Mungu.
4. (a) Maria Bikira… Maria Bikira ndiwe mteule,
(b) Umechaguliwa… Umechaguliwa tangu milele
5. (a) Mwanao ni mfalme… Mwanao ni mfalme juu ya malaika,
(b) Wanakuheshimu… Wanakushimu mkanyaga nyoka.
6. (a) Hatuna Mwombezi… aombeaye,
(b) Kwa Mungu mwenyezi… kuliko