Ingia / Jisajili

Amezaliwa Amezaliwa

Mtunzi: Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Mfahamu Zaidi Fidelis L Komba ( MHAUKA)
> Tazama Nyimbo nyingine za Fidelis L Komba ( MHAUKA)

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Fadhili Komba

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota
Maneno ya wimbo

Amezaliwa, Amezaliwa, Amezaliwa mwana wa Mungu( aleluya) Aleluya tumshangilie x 2

Mashairi

1. Amezaliwa mwana  Yesu, Mwokozi  wetu kazaliwa.

2. Ameshuka kwetu  masiya,  kutu patanisha  na  Baba.

3. Ni Mungu mwana   kawa  mtu, Neno   amefanyika  mwili.

4. A  metupenda  wana-adamu,  Tumpokee mioyoni.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa